Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, July 29, 2009

UVCCM wanapokuwa katika shughuli zao za chama.

Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM Taifa Bw Martine Shigela (katika) akiwa ameongozana na mwenyekiti wa UV CCM mkoa wa Iringa Bw Fadhil Ngajilo kulia na katibu wake Mkoa Bw Josephat Ndulango kushoto kukagua gwalide la chipukiza wa CCM leo kabla ya kuanza kikao cha baraza kuu la UVCCM mkoa wa Iringa mjini Njombe



Mjumbe wa baraza kuu la vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Bi Amina Kingazi ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la uhuru na mzalendo pamoja na radio Uhuru akitoa somo kwa vijana wa CCM nchini kuachama na tabia ya kuwa omba omba awataka wafanye kazi halali

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP