Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, April 14, 2010

MKAZI WA MOROGORO ALAMBA MILIONI 100.


Mshindi wa Mwaka jana wa Tuzo Milionea Bw.Renatus Mkinga akisisitiza jambo kwa Afisa masoko wa Vodacom Tanzania Daniel Kijo wakati wakichezesha Droo ya kumtafuta mshindi wa Tuzo Milionea ambapo Benard John mkazi wa Morogoro ndiye aliyeibuka mshindi na kujinyakulia shilingi Milioni 100 katika Promosheni ya Tuzo Milionea,anayefuata ni Msimamizi wa bodi ya kubahatisha Tanzania Mrisho Milao na Meneja Matukio na Promosheni Rukia Mtingwa.


Meneja Matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akiwasiliana na mshindi wa Tuzo Milionea, Benard John, mkazi wa Morogoro aliyejinyakulia shilingi Milioni 100 katika Promosheni ya Tuzo Milionea iliyochezeshwa usiku wa kuamkia leo jijini Dar. Kushoto ni Msimamizi wa bodi ya kubahatisha Tanzania Mrisho Milao

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP