Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, April 14, 2010

Zain na 'Uhuru wa Kuongea'

Watendaji wakuu wa Kampuni ya simu ya Zain, kutoka kushoto, Meneja Masoko Constatine Magavila, Mkurugenzi wa Masoko Ahsan Syed, Mkurugenzi Mkuu Khaled Muhtadi, Ofisa Biashara Mkuu Chirayi Walingo na Mkurugenzi wa Mtandao Thiery Dussanova wakionyesha mabango yanayoonesha gharama za malipo ya shilingi moja kwa sekunde baada ya kuzindua rasmi promosheni hiyo ambayo inaitwa 'Uhuru wa Kuongea', jana Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP