Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, October 1, 2009

Maandamano ya CUF katika Picha

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akimsikiliza Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa aliyepokea maandamano yao katika Uwanja wa Kidongo Chekundu.

Maandamano yakizunguka Msimbazi katika kipita kushoto

Kojozi likisubiri amri lianze kujikoloea maji ya kuwasha



Baadhi ya mabango ambayo yalikuwa na jumbe tata kutoka kwa wafuasi wa chama cha wananchi CUF


Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba kipunga kwa wafuasi na wanachama wa CUf jana wakati wa maandamano hayo ya Kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kulia ni Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad na kushoto ni Kaimu katibu Mkuu Zanzibar, Juma Haji Duni " Mjela jela".




Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba(katikati) na Katibu Mkuu wa CUF Seif Sharrif Hamad (kushoto) wakimsikiliza Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa aliyepokea maandamano yao katika Uwanja wa Kidongo Chekundu.





0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP