Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, October 9, 2009

Mshindi wa tigo lotto apewa chake

Mmoja wa washindi wa promosheni ya Tigo Lotto Imaculata Anna Sanga mkazi wa Tegeta Dar es Salaam akionyesha zawadi yake fedha taslimu shs milioni moja muda mfupi baada yha kukabidhiwa katika ofisi za Tigo jijini Dar jana.

Meneja Matangazo na Promosheni wa Tigo Redemptus Masanja (kulia) akikabidhi zawadi ya shs milioni moja kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Tigo Lotto, Imaculata Anna Sanga mkazi wa Tegeta Dar es Salaam katika ofisi za Tigo jijini Dar jana. Katikati ni Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgori.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP