Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, October 2, 2009

TAMASHA LA 28 LA SANAA BAGAMOYO LAENDELEA

kundi la Splendid Theatre likifanya vitu vyake wakati wa tamasha la Bagamoyo la 28 la Sanaa na Utamaduni wa Mtanzania akiwa na wasanii wanaoratibiwa na Kampuni Ukala ya Dar usiku wa kuamkia jana. Tamasha hilo la kila mwaka hufanyika Chuo Cha Sanaa Bagamoyo na ni mojawapo ya vivutio vikubwa katika kalenda ya utalii ya mji huo mkongwe. Na safari hii linafanyika katika ukumbi uliokrabatiwa na kujengwa upya wa chuo hicho

Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Kimanzichana wakicheza ngoma ya uwindaji ya ukala wakati wa Tamasha la 28 la sanaa za utamaduni wa Tanzania linaloendelea Bagamoyo hii ilikuwa ni usiku wa kuamkia jana

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP