Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, October 7, 2009

KAMISHNA WA FORODHA NA USHURU AKUTANA NA MAWAKALA WA KODI JIJINI

Kamishana wa Foroda na Ushuru wa Bidhaa Bw. Walid Juma akifungua mkutano kati ya TRA na mawakala wa Forodha na ushuru wa bidhaa unaoendelea sasa kwenye Hoteli ya City Paradise jijini Dar es Salaam, TRA na wadau hao kutoka makampuni mabalimbali yanayokusanya kodi wanajadili mambo kadhaa ikiwemo uboreshaji wa ukusanyaji wa kodi na ushuru wa bidhaa ili kufikia malengo waliyojiwekea.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP