Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, October 13, 2009

2009 MTV Africa Music Awards (MAMA)

Mwanamuziki wa kikazi kipya anayekuja juu nchini Tanzania Shaa akisalimiana na wapenzi wa muziki alipokuwa kwenye tuzo za MTV Music Award Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki.Sha alikua mmoja ya wanamziki aliechaguliwa kushinda tuzo hiyo amabpo Dibanj kutoka Nigeria aliibuka mshindi.

Mwanamuziki wa kikazi kipya anayekuja juu nchini Tanzania Shaa akisalimiana na wapenzi wa muziki alipokuwa kwenye tuzo za MTV Music Award Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki.Sha alikua mmoja ya wanamziki aliechaguliwa kushinda tuzo hiyo amabpo Dibanj kutoka Nigeria aliibuka mshindi



AY akiwa anahojiwa na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuingia katika tuzo za MTV Music Award zilizofanyika nchini Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP