Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, October 8, 2009

Tunakopesha wasaidia Sekondari ya Idodi

MBunge wa jimbo la Ismani na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi (kulia) akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 5 kwaajili ya ukarabati wa mabweni ya wasichana Shule ya Sekondari Idodi, kutoka kwa Mkurugenzi wa Tunakopesha Limited, Nizar Jivan Dar es Salaam jana, Kwamujibu wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Fundi Mihayo (katikati) zaidi ya sh milioni 50 kati ya 155 zinazohitajika kwaajili ya ukarabati wa mabweni hayo zimekusanywa. Makabidhiano haya yalifanyika Oktoba 8 2009.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP