Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, October 10, 2009

Usimamizi wa Sekta ya Fedha Nchini.


Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG),Ludovick Utouh(kulia)akifafnua jambo kwa waandishi wahabari Dar es Salaam jana baada ya Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi,Omary Yussuf Mzee kufungua mkutano wa kujadili matatizo na uboreshaji wa usimamizi wa sekta ya fedha nchini Tanzania.Picha na Mroki Mroki

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP