Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, October 2, 2009

SERA YA MAJI YAJADILIWA NA WADAU WA MAJI NA TAASISI ZAKE

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Marck Mwandosya akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali mara baada ya kufungua warsha ya Mkakati wa pamoja wa kuangalia upya sera ya maji iliyoanza jana katika jengo la Ubungo Plaza jijini Dar es alaam, Warsha hiyo inashirikisha wadau mbalimbali wa maji na Taasisi zake na itaendelea mpaka leo.



Washiriki mbalimbali wa warsha ya Mkakati wa pamoja wa kuangalia upya sera ya maji inayofanyika leo Ubungo Plaza jijini Dar es salaam wakisikiliza kwa makini wakati Waziri wa maji na umwagilaji Prof Marck Mwandosya alipokuwa akifungua warsha hiyo jana.


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP