Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, October 6, 2009

Pinda alipoingia Muhimbili

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mkurugezi wa Idara ya Maafa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Meja Jenerali Bakari Shaaban ambaye amelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Oktoba 3, 2009. Kulia ni Mke wa Meja Jenerali Shaaban, Zaina Said.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kimpa pole Mkuu wa Wilaya ya Temeke ambaye amelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam kwa matibabu, October 3, 2009.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 comments:

Mzee wa Changamoto October 7, 2009 at 6:13 AM  

Hodi hodi Dullo.
Nafurahi kufika kibarazani kwenu wakuu.
Ni habari njema mtupazo na naamini niko nyumbani sasa. Na ntakuwa naingia kama kwetu. Lol
Karibuni CHANGAMOTONI

Mzee wa Changamoto October 7, 2009 at 6:16 AM  

Wandugu, nimesaka email yenu kuwapa hizi habari lakini nimewakosa. Mwaweza kuwajulisha wanamichezo na hasa "walevi" wa masumbwi juu ya Mpambano wa Roger "The Tiger" Mtagwa vs Lopez jumamosi hii.
Info zaidi mwaweza kuzipata hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/10/rogers-tiger-mtagwa-ndani-ya-pay-per.html
PamoJAH Daima

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP