Mbio za baiskeli kwa wenye ulemavu zafana Mwanza
Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli(Vodacom Mwanza cycle challenge)Helena Mwendesha mwenye namba 0978 kwa upande wa wanawake walemavu walioshiriki kilometa 10 akielekea kumaliza mbio hizo na kujipatia ushindi ambapo alitumia dakika 50 sekunde 44 akifuatiwa na mshindi wa pili Exvelina Exsaveli aliyetumia saa moja na dakika 3. Mashindano hayo yameandaliwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa mbio za baiskeli(Vodacom Mwanza Cycle Challenge)wakianza rasmi hizo za baiskeli za kilometa 10 zilizoshirikisha wanawake walemavu na wanaume walemavu,mbio hizo zilianzia kiwanda cha vivywaji baridi cha Pepsi hadi Nyamongolo na kurudi pepsi.
Baadhi ya washiriki wa mbio za baiskeli(Vodacom Mwanza Cycle Challenge)wakijiandaa kuanza mbio hizo za kilometa 10 zilizoshirikisha wanawake walemavu na wanaume walemavu,mbio hizo zilianzia kiwanda cha vivywaji baridi cha Pepsi hadi Nyamongolo na kurudi pepsi.
Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli(Vodacom Mwanza cycle challenge)Omary Matangajo mwenye namba 0975 kwa upande wa wanaume walemavu walioshiriki kilometa 10 akielekea kumaliza mbio hizo na kujipatia ushindi
Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli(Vodacom Mwanza cycle challenge)Omary Matangajo mwenye namba 0975 kwa upande wa wanaume walemavu walioshiriki kilometa 10 akielekea kumaliza mbio hizo na kujipatia ushindi ambapo alitumia dakika 28 sekunde 59 ,Mashindano hayo yameandaliwa na Vodacom Tanzania.
Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli(Vodacom Mwanza cycle challenge)Omary Matangajo mwenye namba 0975 kwa upande wa wanaume walemavu walioshiriki kilometa 10 akielekea kumaliza mbio hizo na kujipatia ushindi ambapo alitumia dakika 28 sekunde 59 ,Mashindano hayo yameandaliwa na Vodacom Tanzania.
Mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli(Vodacom Mwanza cycle challenge)Omary Matangajo mwenye namba 0975 kwa upande wa wanaume walemavu walioshiriki kilometa 10 leo akielekea kumaliza mbio hizo na kujipatia ushindi ambapo alitumia dakika 28 sekunde 59 ,Mashindano hayo yameandaliwa na Vodacom Tanzania.
0 comments:
Post a Comment