Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, October 6, 2009

Exim Bank ilvyoshiriki katika kuchangia Rotary Dar

Wafanyakazi Wa banki ya Exim wakisaidia kugawa maji kwa baadhi ya washiriki wa matembezi ya hisani ya Dar Rotary Walk ‘09 yaliyoandaliwa na Rotary Club ya Dar es Salaam. ili kupata fedha kwa ajili ya kampeni ya kupanda miti zaidi 100,000 nchini kote. Exim ilikuwa moja ya wadhamini wa matembezi hayo.



Afisa masoko wa Exim Benki Anita Goshishy akiwapatia vinywaji wageni waalikwa wa matembezi ya hisani ya Dar Rotary Walk ‘09 yaliyoandaliwa na Rotary Club ya Dar es Salaam. ili kupata fedha kwa ajili ya kampeni ya kupanda miti zaidi 100,000 nchini kote. Exim ilikuwa moja ya wadhamini wa matembezi hayo.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP