Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, October 22, 2009

Dk. Buriani azindua simu ya vodacom itumiayo mionzi ya jua

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Dk.Batilda Buriani, akikata utepe leo jijini Dar kuizindua simu aina ZTE S312 ambayo betri yake inatumia mionzi ya jua pamoja na umeme. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietof Mare. Vodacom ni kampuni ya kwanza kuileta na kuiagiza nchini simu hiyo itayonufaisha sana wadau wa vijijini na hata mjini luku ikiisha

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Dk.Batilda Buriani akiwa ameshika Kipeperushi cha simu aina ya ZTE S312, wakati wa uzinduzi wa simu hiyo ambayo inatumia mionzi ya jua na umeme, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietof Mare.Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP