Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, October 10, 2009

Mama Salma Kikwete na Watoto Mapacha.


Mke wa Rais,Salma Kikwete,akiwajulia hali watoto pacha Adam na Hawa Ramadhani waliozaliwa wiki moja iliyopita katika hospitali ya misheni Mchukwi,Kibiti wilayani Rufiji katika mkoa wa Pwani.Mama Salma alitembelea hospitali hiyo juzi.Picha na John Lukuwi

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP