Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, October 17, 2009

MAKAMU WA RAIS DK. SHEIN AAGANA NA MABALOZI

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Algeria hapa nchini Bwana bwana Abdelmoun AAM Ahriz kufuatia kumaliza muda wake wa kuiwakilisha nchi yake hapa Tanzania walipokutana Ikulu jana. Sambamba na Balozi wa Algeria Dk Shein pia aliagana na Balozi wa Iran bwana Mohsin Movahhedi Ghomi.

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Algeria hapa nchini Bwana Abdelmoun AAM Ahriz kufuatia kumaliza muda wake wa kuiwakilisha nchi yake hapa Tanzania walipokutana Ikulu jana. Sambamba na Balozi wa Algeria Dk Shein pia aliagana na Balozi wa Iran bwana Mohsin Movahhedi Ghomi.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP