Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, October 10, 2009

TANZANIA YAPIGA HODI MTV PARTY_NAIROBI

Ilikuwa ni MTV Pre_party ya kujiandaa na the Big Day, wadau mbalimbali kutoka sehemu tofauti za Afrika walitia timu ndani ya Ice Blue Club jijini Nairobi na kujiachia kwa sana, wabongo kama kawa walikuwepo kumsapoti AY na Shaa na hivi ndivyo walivyouza sura


Prof Jay na msanii mwenzie wa Kenya


Shaa na Nancy na pozi la nguvu



kutoka kulia ni Captaiin G. Habbash, Prof Jay, Shaa, Hermy B,(tusker judge, ha haa) , AY na Master J


Miss Africa, Nancy Sumary akiwa na Luca wa Bongo5.Com

Picha zote kwa hisani ya Abdallah Mrisho wa GPL

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP