Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, October 16, 2009

Mabalozi wa Zambia na korea ya Kusini wawasilisha hati za utambulisho

JK akipokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wawili wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania. Pichani akipokea hati toka kwa Mhe. Darius Steinbeck Bubala wa Zambia.

JK akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Mh. Kim young-Hoon ambaye ni Balozi wa Korea ya kusini na Mhe.Darius Steinbeck Bubala wa Zambia. Mkuu wa itifaki Balozi Itatiro anashuhudia katikati

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP