Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, October 17, 2009

Fiesta yafunika Musoma


Umati wa watu uliofika kwenye tamsha la fiesta one love 2009 usiku wa kuamkia leo

Mkurugenzi wa Clouds Media Group/Prime Time Promotions Bw.Joseph Kusaga akimsikiliza Mstahiki meya wa Musoma Bw. Swahibu Mohamed Iddi alipozindua tamasha la fiesta 2009 lililokwenda sambamba na utambulisho wa frikwensi mpya za redio Clouds Fm mkoa wa Mara ambayo ni 98.6

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP