Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, October 22, 2009

Mambo yaiva mbio za baiskeli Mwanza

Meneja Masoko wa Vinywaji vya baridi vya Pepsi Vis Rao Mwanza (katikati)akiongea na waandishi wa habari juu ya udhamini wao katika mashindano ya mbio za baiskeli (kushoto)Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Benedict Emmanuel,Meneja wa kampuni ya ulinzi ya Knight Support Sameer Virji(kulia)Mashindano haya ya mbio za baiskeli yatakayofanyika 23 na 24 mwezi huu yameandaliwa na Vodacom Tanzania wakishirikiana na CHABATA.


Meneja Minuso (Matukio na Promosheni) wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa(kushoto)akifafanua jambo wakati wakitangaza njia (route)zitakazotumika katika mashindano ya mbio za baiskeli ,wa pili kutoka kushoto Mwenyekiti wa kamati ya ufundi CHABATA Godfrey Jax, Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Benedict Emmanuel, Meneja Masoko wa Vinywaji vya baridi vya Pepsi Vis Rao Mwanza.Mashindano haya yatakafanyika tarehe 23 na 24 yameandaliwa na Vodacom Tanzania wakishirikiana na CHABATA.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP