Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, October 30, 2009

JK azindua kituo cha yatima wilayani rungwe

JK akiwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya pamoja na Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya muda mfupi baada ya kuwahutubia wananchi wa Lufilyo,Rungwe wakati wa uwekaji jiwe la Msingi katika jingo la taasisi hiyo uliofanyika jana.Taasisi ya lucy Hope inawahudumia watoto Yatima


JK akiwa na mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya na Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya wakishangalia wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi katika jingo la taasisi hiyo iliyofanyika huko Lufilyo,Rungwe, mkoani Mbeya jana jioni.Taasisi ya Lucy Hope inawahudumia watoto Yatima kwa kuwalea na kuwapa elikmu katika ngazi mbalimbali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya na Mumwewe Profesa Mark Mwandosya wakimkabidhi JK picha iliyochorwa na Bi.Lucy mwandosya inayoonesha ngoma ya utamaduni ya Rungwe ijulikanayo kama " Ndingala" wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la taasisi hiyo huko Lufilyo Rungwe jana jioni.
Picha na Freddy Maro


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP