Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, August 24, 2009

Ajali ya Moto Iringa


Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Bibi Mwamutum Mahiza akilia kwa uchungu mara baada ya kushuhudia miili ya wanafunzi waliokufa kwa moto uliotokana na mashuamaa katika bweni la wasichana shule ya sekondari Idodi wilaya ya Iringa usiku wa kuamkia leo ,jumla ya wanafunzi 12 wameteketea kwa moto na kubaki majivu huku 22 wamejeruhiwa vibaya

Mabaki ya miili ya wanafunzi wa kike 12 walioteketea kwa moto katika shule ya sekondari Idodi wilaya ya Iringa vijijini usiku wa kuamkia jana

Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Mwamtumu Mahiza na viongozi mbali mbali wa serikali na chama mkoa wa Iringa na Taifa wakiangalia miili ya wanafunzi 12 wa shule ya sekondari Idodi walioteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana



Miili 12 ya wanafunzi wa shule ya sekondari Idodi iliyoteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP