Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, August 22, 2009

JK ziarani Lindi


JK akifunua kitambaa kuzindua mradi wa ukarabati wa mfumo wa maji mjini Lindi.Pembeni ya Rais ni mkuu wa mkoa wa Lindi Said Meck Sadik

JK akisalimiana na wananchi wa eneo la Mtama, Mkoani Lindi wakati alipokuwa akisafiri kwa barabara kutoka Lindi mjini kwenda Masasi mkoani Mtwara



JK akimzawadia pipi motto ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja muda mfupi baada ya kufungua rasmi hoteli mpya ya kitalii ya Oceanic pwani ya mji wa Lindi

Mkurugenzi wa Hoteli mpya kitalii mjini Lindi ya Oceanic Bwana Charles Fusi(kulia) akimwongoza JK kuona mandhari ya hoteli hiyo muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuifungua mjini Lindi jana mchana.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Said Sadik.



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP