Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, August 14, 2009

TMH KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO

Mkurugenzi wa Tanzania Mitindo House TMH Khadija Mwanamboka akionyesha Mchoro wa ramani ya Kituo cha watoto yatima wanaolelewa na shirika hilo, wakati alipoongea na wanahabari katika ukumbi wa idara ya habari maelezo, kuhusu hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa kituo hicho itakayofanyika jumamosi Agosti 22 mwaka huu kwenye ukumbi wa Greek Club jijini Dar es salaam na kujumuisha makampuni mablimbali makazi ya kituo hicho kwa sasa yako Magomeni mapipa jijini Dar na kituo hicho kinatarajiwa kujengwa Kigamboni.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP