Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 13, 2009

Vodacom wakabidhi Wodi ya wazazi Hospitali Ludewa

Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Iringa Pindi Chana (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la wodi ya wazazi la hospitali yaWilaya ya Ludewe,lililojengwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania wodi hiyo imegharimu kiasi cha shilingi Milioni 42.(kushoto) ni Mbunge wa Ludewe Profesa Raphael Mwalyosi (Kulia) Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba wakishuhudia uzinduzi huo.

Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba(kushoto)Mkuu wa Vodacom nyanda za juu Jackson Kiswaga,Mbunge wa Ludewa ProfesaRaphael Mwalyosi na Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Iringa pindi Chana wakiangalia moja ya kitanda vitakavyotumiwa na wakina mama wajawazitobaada ya Mfuko wa kusaidia jamii wa vodacom(Vodacom Foundation)kuwakabidhi jengo la kusubiria akina mama wajawazito ambalo limegharimu kiasi cha milioni 42.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP