Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, August 14, 2009

Waste but Energy

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira (Kulia) Dkt. Batilda Burian, (Kushoto) ni Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Eric Mugurusi, wakisiliza Maelezo kutoka kwa Bw. Lee, Seung Rae Hayupo Pichani, ambae ni Mkurugenzi wa Kituo cha Kuzalisha Nishati itokanayo na Taka Jijini Incheon Nchini Korea, Namna Kituo hicho kinavyofanya kazi hiyo .Picha kwa hisani ya Afisa Habari Ofisi ya Makamu wa Rais .Evelyn Mkokoi

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP