Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, August 10, 2009

JK Zambia

JK akipokea shada la maua toka kwa kijana aliyejumuika na watanzania wengine wanaoishi Zambia kumlaki uwanja wa ndege

JK na mwenyeji wake wakisalimiana na wananchi baada ya kuwasili Lusaka

Rais Rupia Banda wa Zambia akimkaribisha JK muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lusaka jumapili jioni ambapo anahudhuria mkutano maalumu wa nchi za Maziwa makuu. JK akipokea shada la maua toka kwa kijana aliyejumuika na watanzania wengine wanaoishi Zambia kumlaki uwanja wa ndege
JK na mwenyeji wake wakisalimiana na wananchi baada ya kuwasili Lusaka



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP