Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 13, 2009

Mkutano wa Kingune na Wanahabari

Mzee Kingunge Ngombare Mwiru (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Nyumbani kwake Kijitonyama Dar es Salaam jana. Kulia ni Katibu Mkuu wa UVCCM Martine Shegela na kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Hamad Masauni Yussuf.

Mzee Kingunge akifafanua jambo, Kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM, Hamad Masauni Yussuf. Pia aliwapongeza CUF kwa uchambuzi wao wa waraka huo wa Kanisa Katoliki

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP