Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, August 24, 2009

Hafla ya kuchangia mfuko wa ujenzi wa nyumba ya watoto yatima yafana

Mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House,Khadija Mwanamboka akimkabidhi mbunifu wa mavazi maarufu hapa bongo Mustafa Hassanal picha ya ukutani iliochorwa anbayo aliinua na pesa zake kutumika kwenye mfuko wa ujenzi wa nyumba ya watoto yatima katika mradi unaosimamiwa na Tanzania Mitindo House iliyofanyika Hellenic Club jijini dar.


Kulia pichani dada Mwamvita Makamba kutoka Vodacom pamoja na (wadau jina limenitoka la huyu dada mwingine,msaada tutani) wakisikiliza kwa makini hotuba iliokua ikisomwa kwenye hafla ya kuchangia mfuko wa ujenzi wa nyumba ya watoto yatima katika mradi unaosimamiwa na Tanzania Mitindo House iliyofanyika Hellenic Club jijini dar

wadadaz mahiri hapa bongo katika fani ya urembo,shoto ni Jackline Ntuyabaliwe,Jokate pamoja na Mercy Galabawa wakijiandikisha majina kwa ajili ya kuchangia kuchangia mfuko wa ujenzi wa nyumba ya watoto yatima katika mradi unaosimamiwa na Tanzania Mitindo House iliyofanyika Hellenic Club jijini dar


Mwanamuziki Lady Jay D a.ka Manka akiwakabidhi CD yenye wimbo mpya wa malaika uliopigwa mnada na kununuliwa kiasi cha laki sita ikiwa ni sehemu ya kuchangia mfuko wa ujenzi wa nyumba ya watoto yatima katika mradi unaosimamiwa na Tanzania Mitindo House iliyofanyika Hellenic Club jijini dar

PICHA ZOTE TOKA MICHUZIJR

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP