Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, August 24, 2009

JK azuru longido, afuturisha Arusha


Mama Salma Kikwete akiagana na baadhi ya wageni walioshiriki katika futari waliyoiandaa ikulu ndogo mjini Arusha juzi jioni.

JK akisalimiana na baadhi ya wazee wa kabila la Wamasai katika kijiji cha Engarenaibor, wilaya ya Longido ambapo alikwenda kukagua hali ya ukame na upatikanaji wa chakula cha msaada katika wilaya hiyo iliyoathirika vibaya kwa ukame.Katika ziara hiyo Rais alitembelea pia kijiji cha Mundarara ambapo aliongea na wananchi baada ya kupata taarifa ya hali ya ukame katika makao makuu ya wilaya mpya ya Longido.


JK akitoa zawadi kwa baadhi ya wageni walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu ndogo mjini Arusha juzi jioni baada ya kurejea toka Longido

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP