Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, August 17, 2009

JK kusalimia mgonjwa

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi taifa (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali muasisi wa TANU na CCM Mzee Omar Selemani Mwenye umri wa miaka 104 aliyelazwa katika hospitali mkoa wa Dodoma.Mzee Omar Selemani ni mweyekiti wa Umoja wa wazee Mkoani Dodoma.Wakati wa harakati za kugombea uhuru wa Tanganyika Hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa akifikia nyumbani kwa Mzee Omari Selemani na kufanya shughuli za siasa

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP