Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 20, 2009

Vijana watunukiwa vyeti vya ujasilia mali na kifuta jasho


Afisa Maendeleo ya Vijana Wizara ya Kazi Ajira na Vijana, Florent Kalist,(kulia) akikabidhi vyeti vya Ujasiliamali na Mtaji wa shilingi laki mbili kwa Kulwa Shomari,wajasiliamali wanachama wa Tanzania youth of Paradise in Afrika for Development (TAYOPAD)wakati wa hafla iliyofanyika Chang'ombe ,Dar es Salaam jana.Wengine kulia ni Afisa Vijana -Manspaa ya Temeke Anna Rumishac , na Ofisa Jamii Pasada, Veronica Kitano,Fedha hizo zitawawezesha wajasiliamali hao kujikwamua wakati wakiendelea kuzirejesha.



Afisa Maendeleo ya Vijana Wizara ya Kazi Ajira na Vijana, Florent Kalist,(kulia) akikabidhi vyeti vya Ujasiliamali na Mtaji wa shilingi laki mbili kwa Lovenes Haule,Wajasiliamali wanachama wa Tanzania youth of Paradise in Afrika for Development (TAYOPAD)wakati wa hafla iliyofanyika Chang'ombe ,Dar es Salaam jana.Wengine kulia ni Afisa Vijana -Manspaa ya Temeke Anna Rumishac , na Ofisa Jamii Pasada, Veronica Kitano,Fedha hizo zitawawezesha wajasiliamali hao kujikwamua wakati wakiendelea kuzirejesha.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP