Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, August 14, 2009

Mwisho wa Ziara ya JK Ruvuma

JK akiongea na mamia ya wakazi wa mji wa Songea muda mfupi baada ya rais kukagua kituo cha kuzalisha umeme mjini hapo jana.

JK akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa jingo jipya la ofisi ya mkuu wa Wilaya hiyo alhamisi kwenye siku ya mwisho ya ziara yake ya siku tatu mkoani Ruvuma.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP