Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Wednesday, August 19, 2009

Vodacom yaupiga jeki mradi wa ng'ombe wa maziwa Songea

Wapiga gitaa wa bendi ya kinjeketile ya Songea kutoka( kushoto)Joseph Mapunda(shauri ya pesa) na Hamis Mussa wakionyesha umahiri wao wa kupiga gitaa wakati wa makabidhiano rasmi wa mradi wa Ng'ombe wa maziwa wa kikundi cha VICOBA cha Songea uliofadhiliwa na Vodacom Foundation wenye thamani ya shilingi Milioni 20



Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba (kulia)akipewa maelekezo kuhusiana na ng'ombe wa maziwa wa Kikundi cha Vicoba cha Songea kutoka kwa Meneja wa Vodacom Fondation Yessaya Mwakifulefule wakati wa uzinduzi wa mradi huo uliofadhiliwa na Vodacom Foundatio uliogharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Milioni 20.






Mganga Mkuu wa Mifugo Mkoa wa Ruvuma DR.Anselm Tarimo(kushoto) na Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa mradi wa Ng'ombe wa maziwa wa kikundi cha Vicoba cha Songea baada ya Vodacom Foundation kukabidhi mradi huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni shilingi Milioni 20.




0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP