Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 13, 2009

Illuminata katika pozi la mavazi.


Miss Universe Tanzania 2009 Illuminata Wize,akipozi kwa picha wakati wa maonesho ya mavazi kwa washiriki wa shindano la Dunia la Miss Universeambapo warembo 84 wanawania taji hilo mjini Bahama. Vazi hilo limebuniwa na Sabrina Francis kutoka Se ÒB" Fashion.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP