Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 13, 2009

FFU wa Ngoma Africa katika Makamuzi ya hatari AFRILU Festival!

FFU wa Ngoma Africa band! wakiwa katika makamuzi ya hatari hatari! kwenye onyesho la AFRILU Festival mijin Ludwigshaven,Ujerumani, ambako onyesho hilo la ijumaa ya lililowatia kiwewe washabiki na kukubali kuwa "Bongo Dansi" la FFU wa Ngoma Africa ni virungu vya kimataifa



Ras Makunja na FFU wake Ngoma Africa Band, ijumaa , walifanikiwa kuwatia kiwewe washabiki wa mziki katika onyesho kubwa la AFRILU Festival,mjini Ludwigshaven,huko ujerumani.FFU hao walikuwa na kazi moja tu jukwaani nikushambulia kwa kutumia mdundo wao wa "Bongo Dansi", na kuhakikisha kuwa mziki wao aumwachi mtu ! wazeze kwa vijana! wazungu na weusi,wasia na wamanga,wake kwa waume ! mziki wa Ngoma Africa umekuwa zoa zoa !fagio la kimataifawasikilize hapa http://www.myspace.com/thengomaafrica


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP