Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 13, 2009

Fred Bakalemwa apata jiko!!!!!!!!!

Bwana Harusi akitasabasamu huku akiwa na mpambe wake, Danny Tweve

Hii ni kudhihirisha furaha ya wazazi wa bi harusi ambao walijikuta wakiselebuka na kukumbuka enzi zao.




Ndoa bwana, hapa bwana na bi harusi wakilishana



Ni mambo ya send offfice, kushoto ni Bibi Harusi aliyekuwa anaagwa kwa ajili ya kufunga ndoa na Mwandishi wa Habari wa Star Tv na RFA, Fred Bakalemwa, kulia ni Mpambe wa Bi Harusi, Brandy Nelson ambaye ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi.




0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP