Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, August 11, 2009

Kumi Bora BSS

Mkurugenzi mtendaji wa Benchmark Production Ritah Paulsen(kushoto)na Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kulia)akiongea na wanahabari wakati walipotangaza kumi bora ya washiriki wa Bongo Star Search 2009.Vodacom Tanzania ni wadhamini wakuu wa shindano hilo.

Washiriki wa Bongo Star Search 2009 wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania George Rwehumbiza pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Benchmark Production Ritah Paulsen ambae ni muandaaji wa shindano hilo yakidhaminiwa na Vodacom Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP