Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 13, 2009

Songas yagawa madawati Mkuranga

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Sipora Liana (kulia), akipokea moja ya madawati 250 yenye thamani ya sh 20 milioni, kutoka kwa Mratibu wa Uhusiano wa Kampuni ya Songas, Nicodemus Chipakapaka, ambayo yametolewa na kampuni hiyo kwa shule tatu za sekondari wilayani humo, katika hafla fupi iliyofanyika katika Shule ya Sekondari Kiparang'anda wilayani Mkuranga jana.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP