Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, August 15, 2009

Kamati ya Slaa Iringa

Mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za serikali za mitaa Dr Wilbroad Peter Slaa (Kushoto)akimkabidhi kaimu mkuu wa mkoa wa Iringa Capt. Aseri Msangi taarifa ya ukaguzi wa mahesabu katika halmashauri za wilaya mkoani Iringa mara baada ya kukamilisha ukaguzi wa mahesabu katika halmashauri hizo ikiwa ni pamoja na kukagua miradi ,kamati hiyo imemaliza kazi yake mkoani Iringa na kupongeza baadhi ya maeneo na kutoa maelekezo wa maeneo yaliyokosewa bahati mbaya ,Kilolo wapongezwa kwa ujenzi wa jengo la halmashauri , Mufindi mpango wa huduma za kifedha vijijini (RFSP) ,Iringa mradi wa kilimo cha umwagiliaji,Njombe

Mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za serikali za mitaa Dr Wilbrod Slaa mbunge wa Karatu akionyesha moja kati ya vitabu vilivyokaguliwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa
Picha zote na Francis Godwin, Iringa

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP