Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Saturday, August 22, 2009

Kumbe Matonya yuko Morogoro!!


Ombaomba maarufu nchini Mzee Anthon Matonya (61) akiwa ameshikilia chombo huku akiwaomba wasamalia wema wanaopita katika daraja la mto Morogoro waweze kumsaidia fedha kwa ajili ya kujikimu na hali ngumu ya maisha,Matonya amefanya makazi ya kudumu mjini Morogoro baada ya kutimuliwa na aliyekuwa mkoa wa Dar es Salaam Yusuph Makamba kwenye operesheni ya kuwaondoa ombaomba katika jiji hilo mwaka 2006

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP