Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Monday, August 17, 2009

Mkuu wa WHO ndania ya Tanzania

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dk. Margaret Chan akijibu maswali ya waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa leo mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya siku tatu. Kulia ni mwenyeji wake Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Prof. David Mwakyusa. Picha na mdau Aron Msigwa wa MAELEZO.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP