Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, August 25, 2009

Mashindano ya Quran


Msemaji wa Kituo cha Ubalozi wa Iran, Mostafa Kanjibar, akifafanua jambo kwa kutumia (msaafu) wakati wa mashindano ya Kusoma kwa kukariri Qurani ya Vijana kutoka Vyuo Mbalimbali vya Kiislamu,yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga, jijini Dar jana ikiwa ni sehemu ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Mwanafunzi wa Chuo cha Kiislam cha An-nujumu, Pilli Abdallah, akisomakwa kukariri kutoka katika kitabu cha Quran JUZUU 20, wakati wa mashindano ya vyuo mbali mbali yaliyofanyika ktika Viwanja vya Mwembe YangaTandika, Dar es Salaam juzi.


Mkuu wa Shule ya Kiislamu ya Bilal Comprehensive, Mrs Siddika Karim, akifafanua jambowakati wa mashindano ya Kusoma Kurani ya Vijana kutoka Vyuo Mbalimbali vya Kiislamu,yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga, Dar es Salaam jana.ikiwa ni kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP