Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, August 14, 2009

Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Tanzania kushirikiana WAMA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) (kulia) akimkabidhi picha ya nembo ya WAMA Mkurugenzi wa Mipango wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Tanzania Robert Cunnane (kushoto) wakati alipozitembelea ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP