Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, August 14, 2009

Magogo yakamatwa Bandarini

Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga (wa pili kushoto) akioneshwa mazao ya misitu na viroba vya mkaa na Ofisa Misitu Msimamizi wa Sheria, Arjanson Mloge (kulia) vilivyokamatwa katika eneo la Kimbiji na kufikishwa eneo la bandari ya Dar es Salaam jana. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki, Gladness Mkamba.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP