Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, August 13, 2009

Mpango mpya wa Kijani katika Kongamano la Kimataifa la Mazingira

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais Mazingira Mh. Dkt Batilda Burian Katikati, Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Uingereza Bi John Ruddock, na Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamo wa Rais. Bw Eric Mugurusi wakijadili masuala ya Mashirikiano katika sekta ya Mazingira kwa nchi hizi mbili (Mjini Incheon Korea ya Kusini) Picha na (Evelyn Mkokoi).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Ras Mazingira Mh. Dkt Batida Burian, akiwasilisha mada ya 'Green New Deal' Mpango mpya wa Kijani katika siku ya pili ya Kongamano la Kimataifa la Mazingira Linalofanyika Mjini Incheon Nchini Korea ya Kusini. Picha zote Evelyn Mkokoi, wa Afisa Habari Ofisi ya Makamu wa Rais

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Mazingira (kulia) Mh. Dkt. Batilda Buria akijadili Masuala ya ushirikiano katika sekta ya mazingira na Naibu waziri wa Nishati na Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Uingereza, Bi. John Ruddock Mjini Incheon nchini Korea ya Kusini.


0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP