Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Friday, September 18, 2009

Karume afuturisha Zanzibar


Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume,(katikati) akiwa katika futari ya wananchi wa Mikoa 3 ya Unguja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar Alhaj Amani Abeid Karume,katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar juzi.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Alhaj Amani Abeid Karume,(wapili kushoto)akishiriki katika futari aliyowandalia wananchi wa Mikoa 3 ya Unguja katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar juzi.

0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP