Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Thursday, September 10, 2009

Mchakato wa kumsaka miss Redds Photogenic 2009 waanza

meneja wa kilaji cha Redds, Kabula, akimkabidhi mmoja wa warembo, Miss Mwanza, begi la safari pamoja na nguo ambavyo alikabidhi kwa kila mshiriki


baadhi ya warembo wakiwa kambini hoteli ya Giraffe ambayo hivi karibuni imezindua sehemu mpya ya kupumzikia inayoelea juu ya bahari

Miss TZ 2008/2009 Nasreem Kareem akiwapa somo warembo hao



meneja wa kilaji cha Redds, bibie Kabula, akizindua rasmi mchakato wa kumsaka Redds Miss Photogenic leo kwa kuwapa mipango pamoja na zawadi. Zawadi kwa mshindi ni shilingi milioni moja, kabrasha (portfolio) la uoneshaji mitindo ama matangazo pamoja na mkataba wa mwaka mmoja katika kampuni ya wakala wa walimbwende wa mitindo (modeling agency).



warembo 30 wataochuana katika fainali ya Vodacom Miss Tz 2009 wakipozi leo kambini kwao katika hoteli ya Giraffe kabla ya uzinduzi rasmi wa mchakato wa shindano la kumsaka Redds Miss Photogenic 2009



0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP