Dullonet Job,Career and Latest Scholarship

Tuesday, September 22, 2009

Miss Tanzania wakitoa katika Utalii

Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika kambi yao kwenye hoteli ya Girrafe Ocean View iliyoko Kunduchi jijini Dar es salaam




Warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 wakishuka kwenye basi baada ya kuwasili leo mchana Girrafe Ocean View Hotel Kunduchi wakitokea Mkoani Arusha ambako walitembelea mbuga mbalimbali za wanyama kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani, Bodi ya Utalii nchini (TTB) imedhamini shindano hilo kwa lengo la kuutangaza zaidi utalii wa ndani kupitia fani ya urembo , shindano la Miss Tanzania linatarajiwa kufanyika oktoba 2 mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini.





0 comments:

Post a Comment

  © Dullonet template by Dullonet.com 2009

Back to TOP